Kupiga Punyeto ni kitendo cha mtu (Mwanaume au Mwanamke) kujitomasa au kujichua katika sehemu zake za siri ili kujisisimua kimapenzi.

* Japo hali hii imekuwa ikidaiwa kufanywa haswa na watu wenye rika la ujana, lakini tafiti zimeonesha kuwa tendo hili limekuwa ikifanywa pia hata na watu wazima.*

Yapo mambo mengi yanayotajwa kuchangia watu wengi kujiingiza kushiriki tendo hili, msingi wake unadaiwa kusababishwa na hali ya mshiriki kutojua jinsi mwili wake unavyoweza kuitikia msisimko wa mapenzi kabla ya kuanza kushiriki tendo la kujamiiana kwa mara yake ya kwanza.

Japo Punyeto inakatazwa na misimamo ya imani za dini nyingi na kuelezwa kuwa ni jambo lisilofaa, dhambi, mwiko na jambo lisilokubalika kabisa kwenye jamii, watetezi wake wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu ni imani binafsi na chaguo la mtu.

* Wanawake wengi na wanaume uingia kwenye 'Uraibu' wa kupiga Punyeto kwa kile kinachoelezwa kuwa ili kujisikia huru zaidi na vizuri kwa kuondokana na presha za mihemko ya kufanya mapenzi zinazomlazimu kujiingiza kufanya ngono na mtu mwingine.*

* Pia hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, kuambukizwa virusi vya VVU, ni kichochoe kinachodaiwa kupelekea baadhi ya watu kujiingiza kufanya kitendo hicho.*

* Licha ya kwamba Punyeto ukidhi hitaji la muda la muhusika, wataalamu wa afya wanaeleza madhara yanayoweza kumpata au kumtokeà mshiriki wa muda mrefu wa tendo hili.*

*KWA WANAWAKE;*

Baadhi ya madhara anayoweza kupata mwanamke anayejichua au kufanya punyeto;

*1. Kuharibu kizazi*

*2. Kumfanya kuwa mvivu mara kwa mara*

*3. Kukosa hamu ya tendo*

*4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu*

*5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto*

*6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kutokuwepo ivyo kumfanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.*

*7. Kukosa kujua raha ya tendo kutokana na kuzoea punyeto.*

*8. Kufanya Uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mumeo au mwenzako kutafuta mchepuko wenye uke 'mtamu'.*

*9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara.*

*10. Kuwa katika athari ya kujiingiza kwenye tabia ya kufanya mapenzi ya jinsia moja (Kusagana).*

*KWA WANAUME;*

*1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.*

*2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili.*

*3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha UHANITHI (uume kushindwa kusimama)*

*4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara.*

*5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana.*

*6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia*

*7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua*

*8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya ya akili, kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.*

*9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na akili.*

*10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.*

*11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito.*

Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha *ugumba* kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

*12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako.* Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.

*13. Huufanya uume kuwa legelege na mdogo kama wa mtoto.*

*NINI KIFANYIKE ?*

1. Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.

2. Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi

3. Usikae peke yako muda mrefu bila kuwa bize na shughuli yoyote. Kichwa kitupu ni nyumba ya maasi mengi.

4. Epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi

5. Tumia muda ambao huna kazi kwa kulala na hivyo utakuwa unaipumzisha pia akili yako

6. Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni

7. Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote.

*Muhimu Kabisa:*

Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, kama upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondoe haraka iwezekanavyo.

*kwa masaada zaidi wasiliana nasi kwa namba +255752936540