Breaking News

Kiporo cha Simba vs Yanga Julai 3



 Mchezo namba 208 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba SC na Yanga SC umepangwa kuchezwa Julai 3, 2021, saa 11:00 jioni katila Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Mei 8, 2021, lakini uliahirishwa.

No comments