Breaking News

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA MBELE YA KAIZER CHIEFS LEO

 



 HUENDA jeshi la Didier Gomes mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya robo fainali ya kwanza wanaweza kuanza namna hii:-

Aishi Manula 

Shomari Kapombe 

Pascal Wawa 

Joash Onyango 

Mohamed Hussein 

Jonas Mkude

Taddeo Lwanga 

Clatous Chama 

Rally Bwalya

Luis Miqussone 

Chris Mugalu 


Kwa mujibu wa Championi Jumamosi

No comments